Ni mchezo wa mtoano mkondo wa pili iliyoshuhudia timu ya Tanzania Prisons ikisalia ligi kuu kwa ushindi wa jumla wa mabao 2-1 kufuatia sare ya bao 1-1 na ushindi wa bao 1-0 katika mchezo wa mkondo wa kwanza.
Katika mchezo huu, JKT ndiyo waliotangulia kupata bao kwa penati ya Edward Songo dakika ya 36, kabla ya wenyeji Tanzania Prisons kusawazisha kwa goli la super sub, Benjamin Asukile dakika ya 69.
Haya hapa magoli.
출처보기